Lord God, I lay all my anxiety and troubles at Your feet. I come to You quietly and in confidence. Please come into my heart and let me just bask in your presence and love. Help me to hear Your still small voice speaking, and help me to go forward in faith believing You are there beside me always. AMEN
Naamini kama ulivyo sema utanijibu haraka upesi Naamini utanijibu kama vile Yule kuhani Mbaya asiyekumwogopa Mungu alivyotendea yule mjane haki Naamini utanitendea mema kwa maisha yangu yote ninayo kuomba kwa haraka upesi kwa kukutumikia wewe sasa na hata milele kwa njia Ya kristo bwana wetu Amina.